• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

SPIKA TULIA ATAKA USHIRIKIANO NA MAWAZO BUNIFU KULIENDELEZA BARA LA AFRIKA NA WATU WAKE.

Posted on: October 3rd, 2024


Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa umoja wa Mabunge duniani IPU Dkt. Tulia Ackson  akihutubia kwenye Mkutano wa 53 wa Chama Cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ta Afrika,amewataka washiriki wa Mkutano huo kutumia Jukwaa hilo vyema katika kuunda ushirikiano imara zaidi, kubadilishana mawazo bunifu na kuendeleza mikakati inayoweza kutekelezeka ambayo itakuwa na manufaa kwa bara la Afrika.



Dkt. Tulia Ackson ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Oktoba 03, 2024 wakati wa ufunguzi wa mkutano huo unaofanyika Kwenye Ukumbi wa Grand Malie Jijini Arusha, Mkutano unaofunguliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango na kuhudhuriwa na washiriki kutoka nchi zaidi ya 19 kutoka Barani Afrika.



Spika Dkt. Tulia ametumia fursa hiyo pia kuwashukuru wajumbe wa Mkutano huo kwa kumchagua Kuwa Rais wa Mabunge duniani, akiwahimiza pia kutumia uwepo wao Mkoani Arusha kuweza kutembelea vivutio mbalimbali  vya Utalii vinavyopatikana mkoani hapa.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.