Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Paul Christian Makonda akisalimiana kwa furaha na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, mara baada ya kuwasili Mkoani Arusha kwenye uwanja wa Ndege wa Arusha mchana wa leo Oktoba 02, 2024
Makamu wa Rais yupo mkoani Arusha, akimuwakilisha Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kufungua Mkutano wa 53 wa Chama Cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA AFRICA), unaokutanisha Mabunge 19 ya Kitaifa katika Kanda ya Afrika Oktoba 03, 2024.
Mhe. Dkt. Mpango ameambatana na mkewe mama Mboni Mpango.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.