• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WAJASIRIAMALI WANUFAIKA WA MPANGO TASAF WAMPA ZAWADI WAZIRI MKUU...

Posted on: November 22nd, 2023

Na Elinipa Lupembe.


Mjasiriamali wa Kikundi cha Naisura cha Olasiti jijini Arusha, Bi. Tatu Ramadhani Hongwa, akimpa zawadi ya bidhaa za sabuni zinazotengenezwa na kikundi hicho, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB), muda mfupi kabla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya  3 ya Wiki ya

Huduma za Kifedha Kitaifa yanaendelea mkoani Arusha, kwenye viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, leo tarehe 22.11.2023.


Kikundi cha Naisura ni miongoni mwa vikundi vya wajasiriamali vinavyoundwa na wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini, unaoratibiwa na Serikali, kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ( TASAF).


Hata hivyo Waziri Mkuu amewaponheza wanufaika hao wa TASAF na kuwataka, kuendelea kuimarisha vikundi vya kuweka na kukopa, kupitia ruzuku ya fedha wanazopokea ili kuaota mitaji ya kuanzisha biashara ndogondogo zitakazowawezesha kukuza pato la Kaya.


 "Nimefurahisgwa sana na vikundi vya wajasirira mali, vinavyoundwa na wanufaika wa TASAF, kwa kutumia fedha za ruzuku wanazopokea, wajasiriamali hawa, wanatekeleza malengo ya serikali ya mpango wa TASAF wa kuondoa uamsikini uliokidpthiri kwenye kaya" Amebainisha Mhe. Majaliwa


Awali, Maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha kitaifa 2023, yamefunguliwa rasmi na Waziri Mkuu na yanafanyika kwa siku 5, kuanzia tarehe 20 - 26 Novemba, 2023 yenye kauli mbiu Elimu ya Huduma za Fedha ni Msingi


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.