• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WAKURUGENZI TOENI FEDHA ZILIZOTENGWA KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE -DKT.DUGANGE

Posted on: July 17th, 2024


Na Angela Msimbira Ofisi ya Rais - Tamisemi 


Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt. Festo Dugange amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote Nchini kuhakikisha wanatoa fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya utekelezaji wa afua za lishe kama zilizopangwa katika bajeti.


Akifungua Mkutano wa mwaka kwa  maafisa lishe wa mikoa na halmashauri nchini leo Julai 16,2024 Jijini Dodoma Dkt. Dugange amewataka wakurugenzi hao kuhakikisha fedha hizo zinatumika kutekeleza shughuli za lishe na kucha tabia ya kuelekeza fedha hizo kufanya mirati mingine.


“Baadhi ya wakurugenzi wamekuwa na tabia ya kupeleka fedha za utekelezaji wa afua za lishe kwenye matumizi mengine  hivyo  ni maelekezo ya Serikali  kuhakikisha fedha zote  zilizotengwa kwenye bajeti  kwa ajili ya utekelezaji wa afua za lishe  zinatumika katika afua hiyo na si vinginevyo” amesisitiza Dkt. Dugange. 


Amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI itafanya tathmini katika Halmashauri zote  zilizotenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa afua za lishe, ikibaini fedha hizo kutumika  nje ya utekelezaji huo haitasita kuwachukulia hatua wakurugenzi hao.


Vilevile, amewataka Maafisa lishe nchini kuhakikisha wanaimarisha elimu ya lishe kwa jamii  kwa kutoa elimu kwa  wananchi kuhusu lishe bora kulingana na makundi ya vyakula hasa kwa mama wajawazito, watoto na vijana  balee ili kujenga utamaduni  wa kutambua umuhimu wa vyakula hivyo.


Pia, Dkt Dugange amewataka maafisa hao kuhakikisha wanasimamia miradi ya afua za lishe kupitia halmashauri zao ili kufikia malengo yaliyokusudiwa na Serikali ya kupunguza changamoto ya lishe nchini.


Aidha, amewataka kuhakikisha  takwimu zinazokusanywa  kwenye vituo vya kutolea huduma za afya  ngazi ya jamii  ni sahihi na zenye ubora ili ziweze kutumika  kufanya maamuzi katika  ngazi mbalimbali.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.