• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WALIMU MERU DC WAPATIWA MAFUNZO KABILISHI YA MITAALA ILIYOBORESHWA ELIMU AWALI NA MSINGI...

Posted on: June 9th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu Makwinya amefungua Mafunzo Kabilishi kwa Mitaala iliyoboreshwa ya Elimu ya Awali na Msingi yaliyohudhuriwa na Walimu Wakuu  shule za Awali na Msingi katika Halmashauri ya Meru.

Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo wa uelewa walimu kusimamia na kutekeleza Mitaala iliyoboreshwa kwa ngazi ya Elimu ya Awali na Msingi yanaendeshwa kwa siku mbili, yamefanyika kwenye Shule ya Msingi Imani  Kata ya Usariver.

Aidha, Makwinya amewapongeza Walimu Wakuu wa Shule za Msingi kwa utendaji kazi wao na kuwataka kutumia ofisi kama chumba cha kutatua changamoto zinazowakabili katika Shule zao.

Pia, amewataka walimu kutokata tamaa kutokana na mazingira wanayokumbana nao kwani mazingira magumu ndio yanayomuonyesha mtu utendaji kazi wake. ameyazungumza hayo akitoa ushuhuda wa yeye alivyoanza kazi mpaka alipofikia hivi sasa.

 "Mimi nimeanza kazi kulikuwa hakuna majengo kama haya nimeanza kazi nikiwa Mwalimu shule inajengwa kwa kusimikwa Miti ndio wanafunzi wanasoma lakini Leo hii niko hapa,  hivyo niwatie moyo ya kwamba mazingira unayofanyia kazi unaonekana na wakati mwingine tunapima uwezo wako" amesema Makwinya.

Hata hivyo, amewatakia Mafunzo mema na kuelekeza Mafunzo hayo yakawe tija kwa wanafunzi wetu kwa kuzalisha wanafunzi Bora na sio Bora wanafunzi.



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.