• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WANACHUO WA CHUO CHA NDC WAFANYA ZIARA ARUSHA

Posted on: November 11th, 2024


Ujumbe wa washiriki wa kozi ndefu kutoka nchi 16 ikiwemo Tanzania kutoka chuo cha ulinzi cha taifa - NDC, umefanya ziara ya kimasomo mkoani Arusha kwa lengo la kujifunza kwa vitendo ili waweze kuwa kitovu cha kuwezesha maamuzi ya Serikali kwenye kila sekta yanayozingatia tija na usalama wa taifa.



Akizungumzia umuhimu wa ziara hiyo, Mkuu wa chuo hicho Meja Jenerali Wilbert Augustine Ibuge amesema ujumbe huo unahusisha viongozi wa ngazi za juu na maafisa waandamizi kutoka Vyombo vya ulinzi, Wizara, Taasisi na Idara mbalimbali za Serikali ambao baada ya mafunzo hayo watakuwa ni washauri wazuri wa Serikali na wafanya maamuzi wa kimkakati.



“Tupo kwenye kipindi cha mafunzi ya Uchumi na Utalii ikiwa ni sehemu ya moduli tulizonazo na ziara hii tunaifanya kila mwaka kwasababu tunajua mchango wa Mkoa wa Arusha kwenye Sekta ya utalii na Uchumi kwa Ujumla ni mkubwa sana kwenye Taifa letu”. Amesema.



Hata hivyo washiriki wa kozi hiyo iliyoanza Septemba Mwaka huu ni 61 huku washiriki 40 wakiwa ni Watanzania na wengine 21 kutoka nchi 16 ikiwemo india, Misri na Ephiopia.



Kwa upande wake Kaimu Katibu Tawala na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha Dkt. Rashid Mkombachepa amewakaribisha wajumbe hao na kusema kuwa ziara hiyo ni muhimu hasa kwa kuendeleza jitihada za kukuza sekta ya Utalii hasa kwa mkoa wa Arusha amba oni kitovu cha Utalii.



“Nimefurahi sana kujumuika kwenye ziara hii Mkoani hapa na kujifunza mambo mengi kuhusu Utalii ikiwa ni sehemu ya mafunzo yetu, Nchi ya Tanzania na India zimekuwa na ushrikinao mzuri kihistoria tangu niliposikia Azimio la Arusha chini ya Baba wa Taifa Mwl. Nyerere”. Amesema mmoja wa washiriki hao kutoka Jeshi la India, Group  Captain Nitesh Chauhan.



Wajumbe hao watakuwa mkoani Arusha kwa muda wa siku nne na kutembelea maeneo mbalimbali ya vivutio vya utalii.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.