Wananfunzi wa Kitivo cha Uongozi, chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) watembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo 13.11.2023
Baada ya kuwasili Ofisini haopo wamekutana na mkuu wa mkoa huo Mhe. John V.K.Mongella na kufanya kikao cha pamoja huku wakiwa na lengo la kujifunza fursa mbalimbali za maendeleo zinazopatikana Mkoani humo, ikiwemo vivutio vya utalii pamoja na mafanikio ya serikali ya awamu ya sita, serikali inayoongozwa na Mhe. Rais wa Dkt.Samia Suluhu Hassan.
#ArushaFursaLukuki
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.