• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WANAFUNZI WAMEKUJA SHULENI; SASA WANAHITAJI KUFUNDISHWA.

Posted on: January 30th, 2024


Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella, amepata fursa ya kuzungumza na wanafunzi wa darasa la awali, shule shikizi ya Msingi Kale, kijiji cha Iloirenito Tarafa ya Kitumbeini wilaya ya Longido, alipotembelea shuleni hapo kujionea maendleo ya shule hiyo na mapokezi ya wanafunzi wa madarasa ya awali na la kwanza, leo 30 Januari 2024


Mhe. Mongella licha ya kuridhishwa na uwepo wa  wanafunzi shuleni hapo, amewapongeza wanafunzi hao na kuwatakia kila lenye kheri katika safari yao ya masomo, huku akiwasisitiza kutia bidii katika kujifunza ili waweze kuja kulitumikia Taifa lao la Tanzania.


Aidha, amewatia moyo walimu wa shule hiyo licha ya ugumu wa mazingira ya eneo hilo, na kuwasisitiza  kuweka juhudi katika kuwafundisha maarifa na stadi zote za maisha ili kupata watalamu wa fani mbalimbali kutoka kwa wanafunzi hao.


Ameweka wazi kuwa Serikali ya awamu ya sita, imewekeza fedha nyingi kwenye sekta ya elimu, lengo likiwa ni kuhakikisha watoto wote wakitanzania wanapata elimu ili kuzalisha watalamu watakaolitumikia taifa hili katika fani mbalimbali lakini zaidi watoto hao watimize ndoto zao wanazotarajiwa kuwa baada ya kuhitimu masomo yao.


"Kila mtanzania anatambua nia na matamanio ya Mhe. Rais Samia Suluhu, ya kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata elimu karibu na eneo analoishi, ni  jukumu lenu walimu na wazazi kushirikiana kuhakikisha lengo lq Serikali linatimia ili kumuunga mkono Rais wetu kwa kazi kubwa anayofanya ikiwa ni pamoja na kuwajali wananchi" Amesema Mhe. Mongella


Mhe. Mongella ametembelea shule hiyo shikizi, ikiwa ni zaiara yake ya kawaida ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa shughuli za maendeleo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa ndani ya mkoa wake wa Arusha.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.