• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WAZIRI MKUU AZINDUA MASHINE YA KUCHANGANYA VIRUTUBISHO ARUSHA

Posted on: October 25th, 2023

Na Elinipa Lupemne


Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) amezindua mashine ya kuchanganya virutubisho kwenye vyakula wakati akitembelea mabanda ya maonesho muda mchache kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa Tisa wa Wadau wa Lishe nchini uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru mkoani Arusha.


Akizungumza wakati wa akizindua mashine hiyo, Mhe. Majaliwa amesema kuwa serikali inaunga mkono juhudi zilizofanya na shirika hilo na kutumia fusra hiyo  kuwaomba wadau wa maendeleo kuunga mkono juhudi hizo ili mashine hizo ziweze kuuzalishwa kwa wingi na kutumika nchi nzima.


Mashine iliyozinduliwa inatumika kuongeza virutubisho muhimu katika vyakula hususan unga wa mahindi, virutubisho hivyo ni pamoja na vitamin B na folic acid vinasaidia kwenye ukuaji wa watoto na kuzuia kuzaliwa na changamoto za ulemavu ikiwemo mgongo wazi na vichwa vikubwa.


 “Ninawapongeza wadau walishiriki kufanikisha teknolojia hii muhimu kwa afya za watanzania, ninatambua mchango wa Shirika la GAIN, SIDO na DIT kwa kuwezesha kazi hii kukamilika, niwaombe tuendelee kusimamia vipaji vya watanzania ili kuwa na mashine zinazotengenezwa ndani ya nchi.” Amesema


Aidha Mhe. Majaliwa amewasisitiza watanzania kutumia  virutubisho vinavyozalishwa nchini, sambamaba na kuwahimiza wadau kuendelea kuzalisha kwa wingi malighafi za virutubisho hivyo ili kuondokana na utegemezi wa kuviagiza kutoka nje ya nchi na kuwahakikishia wadau kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuunga mkono juhudi hizo na kuzisimamia ili  kuhakikisha zinakuwa endelevu.


Awali Waziri Mkuu amesisitza Ofisi ya Rais - TAMISEMI kuhakikisha kuwa mikataba ya lishe,  inatekelezwa kikamilifu na kuwa na tija kwa kufuatilia kwa karibu na kutoa taarifa za utekelezaji mara kwa mara kwa kila ngazi kama mkataba unavyoainisha ili kufikia malengo ya serikali ya kuondokana na utapiamlo na udumavu unaotokana na lishe duni.


#ArushaFursaLukuki

#kaziinaendelea

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.