Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili mkoa wa Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella, kwenye uwanja wa Ndege Arusha, mchana wa leo Februari 15, 2024.Mhe. Majaliwa yuko mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa yanayotarajiw akufanyia kesho Februari 17 , 2024
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.