Shirika la World Vision Tanzania limetoa msaada wa madawa na vifaa tiba vyenye dhamani ya shilingi 10,305,00 kwa wilaya ya Ngorongoro.
Vifaa hivyo vitasambazwa katika vituo vya afya mbalimbali wilayani humo.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.