Posted on: March 6th, 2024
Wajumbe wa Kamati ya Siasa mkoa wa Arusha, wametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Kirtalo - Soitsambu yenye urefu wa Km 9.5 inayojengwa kwa kiwango cha Changarawe inayohudumia...
Posted on: March 6th, 2024
Na Elinipa Lupembe
Watumishi halmashauri ya Ngorongoro, wametakiwa kuongeza bidii katika kufanya kazi ya kuwahudumia wananchi, kwa kuwa Serikali imewawekea mazingira mazuri ...
Posted on: March 6th, 2024
Tunajivunia Miaka mitatu ya Kishindo, ya mama Semia, Serikali imejenga chuo cha Ualimu Ngorongoro, Wilaya ya Ngorongoro, kwa lengo la kuhakikisha ongezeko la shule mpya zilizojengwa nchini, zinazoenda...