Posted on: December 3rd, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta amemuwakikishia Profesa Hilonga kuwa atahakikisha kila shule hususani za vijijini zinapata mtambo wa kuchuja maji kwa ajili ya matumizi mashuleni.
Ameyase...
Posted on: November 25th, 2020
Serikali itasimamia mipango yote itakayotumika kupinga na kutokomeza ukatili wa kijinsia hasa kwa watoto wa kike kwa kuhakikisha taarifa zao zinafanyiwa kazi kwa haraka zaidi.
Yamesemwa hayo na Mku...
Posted on: November 21st, 2020
Wachezaji wa timu Taifa ya Mpira wa miguu chini ya miaka 20, wamepatiwa mbinu 3 zitakazo wafanya washinde mashindano ya CECAFA.
Mbinu hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Iddi Kimant...