Posted on: December 7th, 2020
Mafundi simu wametakiwa kuwa waaminifu kwa wateja wao pindi wanapowatengenezea simu zao.
Maagizo hayo yametolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Iddi Kimanta alipokuwa akifungua mafunzo ya siku moja ...
Posted on: December 7th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta ameitaka bodi ya manunuzi na ugavi kuwachukulia hatua kali wataalamu wa manunuzi na ugavi pindi watakapokiuka taratibu na sheria za taaluma yao.
Ameyasema...
Posted on: December 4th, 2020
Wasomi wametakiwa kutumia elimu yao kutatua changamoto zilizopo katika jamii zao, ili waweze kujipatia vipato na pia kusaidia jamii hizo.
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Iddi Hassan K...