Posted on: February 3rd, 2023
"Nendeni mkatunze mazingira na vyanzo vya maji ili yasiendelee kutuadhiri katika maisha yetu".
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella alipokuwa akishiriki zoezi la kupanda miti kati...
Posted on: January 31st, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wakuu wa wilaya hasa wageni kwenda kusimamia zoezi la uwandikishaji wanafunzi wa awali, msingi na kidato cha kwanza katika maeneo yao.
RC Mongella ame...
Posted on: January 28th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella ameagiza wakala wa Nishati ya umeme Vijijini (REA) kuhakikisha wanawasimamia wakandarasi waliopewa zabuni za kusambaza umeme huo na kuwalisha mipango ...