Posted on: August 27th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Longido Mheshimiwa Marco Ng'umbi ameunda tume ya uchunguzi ili kujua nini chanzo kilichopelekea moto ulioteketeza na kuharibu bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Enduiment,&...
Posted on: August 27th, 2024
Msajili wa Hazina nchini Tanzania Bw. Nehemia Mchechu amesema sheria mpya inatungwa ili kusimamia Mashirika na Taasisi za umma katika kukuza ufanisi na uwajibikaji wa Taasisi hizo kama sehemu...
Posted on: August 27th, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufungua kikaokazi cha Wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa Taasisi, Mashirika ya umma na wakala za serikali, w...