Posted on: August 10th, 2023
"Nendeni mkafanyie kazi mapendekezo yatakayotolewa kutokana na tafiti ya Oikos na E-MAC ili kuboresha zaidi mfumo mzima wa hedhi salama".
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Emmanuela...
Posted on: August 8th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amewataka waoneshaji na wananchi kutumia fursa zilizopo kwenye kilimo ,uvuvi na ufugaji ile ziweze kuleta tija kwani fursa zinafuatwa na hazimfuati mtu.
Amewat...
Posted on: August 4th, 2023
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amefungua jengo la makazi la kibiashara na kusisitiza kwamba Serikali itaendelea kuziwezesha Taasisi zake kuwa...