Posted on: September 28th, 2020
Vijana wa Rika katika kabila la Batemi wametakiwa kuwa waadilifu hususani katika shughuli zao wanazofanya katika jamii yao ili kuweza kuleta maendeleo, umoja na mshikamano.
Yamesemwa hayo na Mkuu w...
Posted on: September 19th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha amewataka washiriki wa riadha wanajiandaa vizuri ili kuhakikisha wanafanya vizuri zaidi katika mashindano ya riadha (Ngorongoro Marathon).
Ameyasema hayo alipokuwa akizungumz...
Posted on: September 19th, 2020
Viongozi wa dini wameshauriwa kufanya kazi kwa bidii huku wakisimamia maadili ya utumishi wa Mungu.
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Idd Kimanta alipokuwa akishuhudia kuapishwa kwa askofu m...