Posted on: December 10th, 2022
"Serikali haipingi mila na desturi bali haitafumbia macho zile mila na desturi zinazoleta ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto".
Hayo yamesemwa na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Musa k...
Posted on: December 2nd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wananchi wa Mkoa huo, kujitokeza kupima afya zao na atakae gundulika anamaambukizi ya UKIMWI atumie dawa wala asikate tamaa.
Ameyasema hayo alip...
Posted on: November 27th, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amezita taasisi za Serikali na binafsi kutumia teknolojia katika utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka.
Kauli hiyo, ameitoa alipokuwa aki...