Posted on: February 17th, 2024
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amewataka wananchi kuyaenzi na kuyaendeleza mambo yote mazuri yaliyofanywa na hayati Edward Lowassa katika kipindi chote cha utumishi na maisha yake ya kawaida.
...
Posted on: February 17th, 2024
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi, amesema Edward Ngoyai Lowassa alikuwa ni mtu aliyependa kufanyakazi, alikuwa ni mchapakazi, aliyezitumika nafasi z...
Posted on: February 16th, 2024
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili mkoa wa Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella, kwenye uwanja wa...