Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Jerry Cornel Muro na Mhe. Frank James Mwaisumbe Mkuu wa Wilaya ya Longido wameapishwa rasmi kuwa wakuu wa Wilaya husika Mkoani Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akimwapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Longido Mhe. Frank James Mwaisumbe
katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akimpa mkono wa pongezi Mkuu mpya wa Wilaya Jerry Muro punde baada ya
kuapishwa katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Sanduku la Barua: 3050 Arusha
Simu: 27 254 5608
Simu Nyingine: 027 254 4950
Barua Pepe: ras@arusha.go.tz
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa