RC MAKALLA KUANZA ZIARA RASMI MKOANI ARUSHA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuanza ziara ya kikazi kwenye wilaya za mkoa huo kuanzia kesho Septemba 02,2025 katika wilaya ya Ngorongoro.
Katika ziara hiyo CPA Makalla atatembelea na kukagua utekekezaji w miradi ya Maendeleo kisekta, atafanya Mikutano ya Hadhara na wananchi wa wilaya hizo pamoja na kujitambulisha kwa viongozi wa Chama na Serikali, viongozi wa dini na mila pamoja na wananchi wa wilaya hizo...
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa