• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA ATAKA UFANISI NA KASI ZAIDI KATIKA KUHUDUMIA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI.

Posted on: July 4th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amewataka watendaji mbalimbali wa serikali kuyaelewa vyema maono na ndoto za Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzitekeleza kikamilifu kwa wafanyabiashara na wawekezaji ili kuhakikisha kuwa taasisi za serikali haziwi sababu ya usumbufu na vikwazo kwa Wananchi.


Mhe. Paul Christian Makonda ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Julai 04, 2024 wakati akizungumza na  wawekezaji na watumishi wa kituo cha uwekezaji nchini Tanzania TIC wakati wa uzinduzi wa Kituo cha TIC kanda ya Kaskazini, kituo kilichozinduliwa na Waziri wa  nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo.


"Tusiwahudumie wawekezaji kama maadui, tuwe wawezeshaji. Itafika hatua tutaomba muongozo serikalini kwamba kabla hujateuliwa tukuulize ikiwa umewahi kufanya biashara yoyote ili iwe  moja ya sifa kwasababu kuna watu hata biashara ya Kuku hawajawahi kuiweza lakini akiingia kwenye biashara za watu anasumbua utafikiri amekutana na shetani, anamshughulikia ili ampeleke motoni." Amesema Mhe. Makonda


Katika hatua nyingine Mhe. Paul Christian Makonda amesema ni matarajio yake kuwa kituo hicho cha uwekezaji Jijini Arusha kitakuwa kituo cha mfano barani Afrika kwa kuwa na huduma nzuri, za uhakika na za haraka ili kusaidia kuchochea uchumi wa Arusha na ukanda mzima wa Kaskazini mwa Tanzania.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa