• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA NA WAZIRI SILAA WATETA TEKNOLOJIA INAVYOWEZA KUNUFAISHA VIJANA WA ARUSHA

Posted on: March 12th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa wamekubaliana kushirikiana pamoja katika kukuza na kuimarisha bunifu mbalimbali za kiteknolojia Mkoani Arusha kama sehemu ya kutekeleza kwa vitendo adhma ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kukuza uchumi wa kidigitali nchini Tanzania.



Wakati wa mazungumzo yao Jijini Arusha leo Machi 12, 2025 ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Waziri Silaa Mkoani hapa, Waziri Silaa ameeleza kuwa serikali pia ipo kwenye utungaji wa sera itakayosimamia  bunifu na kampuni changa nchini (startup’s policy) katika kuhakikisha kuwa Vijana wa Arusha na mikoa mingine ya Tanzania wananufaika na bunifu zao mbalimbali za kiteknolojia.



Katika maelezo yake Mhe. Makonda ameahidi kushirikiana na Wizara hiyo katika mchakato huo, akisema Mkoa pia unajiandaa na ujio wa shindano la kushindanisha bunifu za kiteknolojia kwa vijana wa Arusha na amemuomba Waziri Silaa kuitikia wito wa kuhudhuria mashindano hayo pale muda utakapokuwa umefika.



Mhe. Makonda ametumia fursa hiyo pia kusisitiza nia ya Vijana walioaminiwa na Rais Samia kuendelea kushirikiana vyema katika kumsaidia majukumu, akiishukuru Wizara hiyo kwa umarishaji wa miundombinu mbalimbali ya Tehama mkoani Arusha ikiwemo ufungaji wa minara ya simu kwenye maeneo ya Loliondo na Monduli na hivyo kuimarisha huduma za mawasiliano na kusisimua uchumi kwa kurahisisha ufanyaji biashara na kupunguza urasimu kwenye shughuli mbalimbali.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa