• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

Tanzania yapata msaada wa Madume 11 ya Ngombe bora wa KISASA.

Posted on: February 27th, 2018

WAFUGAJI  nchini wataanza  kupatiwa mbegu bora zangombe wa kisasa kwa gharama nafuu  baada ya Tanzania kupata msaada wa madume 11 ya ngombe bora wa kisasa  ambayo yataongeza uzalishaji kutoka  ndama  laki moja  hadi kufikia milioni moja kwa mwaka.

Akizungumza  wakati anapokea  madumehayo  katika kituo cha taifa cha uzalishaji wa mbegu bora za mifugo(NAIC) kilichoko Usariver Mkoani Arusha  waziri wa mifugo na uvuvi Mh  Luhaga Mpina  amesema  hatua hiyo inayolengakuharakisha kuleta mapinduzi katika sekta ya mifugo.

Aidha  Waziri mpina alisema  hatua hiyo inakwenda sambamba na  kujenga misingi ya kuongeza thamani ya mazao yamifugo  kwa wafugaji na pia  Taifa kwa ujumla

Waziri  Mpina  alisema  katika  kuhakikisha  hatua  hiyo  inatekelezwa   tayariwizara yake  imeanza mchakato  wa kufanya utafiti wa kubainikama Tanzania yenye ngombe zaidi ya milioni 28  ina ulazima wa kuendeleakuagiza maziwa kutoka nchi za nje ama la.

"Tunataka  kujiridhisha  kuwa  hivi  ni  kweli  tunahitaji  kuendelea  kuagiza  maziwa  kutoka  nje ?na hivi  ni  kweli  kuwa  sisi  kama  Taifa   na  wafugaji  wetukwa  ujumla  kuna  tija  yauagizaji  huo  wa  maziwa  ama  ni  miradi  ya  baadhi  yawatu ?" alihoji  Mh Mpina

Katibu mkuu wa wizara ya mifugo Dr. Marry Mashingo amesema Madumehayo ambayo ni msaada  kutoka mfuko wa Billgate yenye  thamani yamilioni 242  yatasaidia kuongeza uzalishaji wa maziwakwa  wafugaji  wenyewe  na  pia  kwa  wasindikaji

"Madume  yotekumi  na  moja  itaongeza  dozi  za  mbegu  zinazozalishwa  kwakuweza  kupata ngombe  milioni13  katika  kipindi  cha miezi sita,hali  hii  itaharakisha  kuongeza  aina  yangombe  bora  kwa  wafugaji  wetu"alisema   Katibu  Mkuu  Dr.  Marry  Mashingo

Mkurugenzi mkuu wa utafiti wa mifugo nchini Dr Eligi MussaShirima amesema  wamebuni mbinu mpya  ya kuwafikishia wafugaji mbegubora kwa gharama ndogo  ikiwemo  yakutumia  chupa  maalumu  zinazofanana  na  chupaza  Chai   hatua  itakayorahisisha  na  kuwawezesha  kupata  mbegu  hizo  kwa  wingina  kwa  wakati. 

Baadhi  ya  wadau  wa  mifugo  kutoka  sekta   binafsi   wanasemahatua  hiyo  ya  serikali  imewapa  matumaini  makubwa  na  kwamba  ikiweza  kutekelezwakwavitendo  itaharakisha  mapinduzi  yanayotarajiwa  katika  sekta  ya  ufugaji. 

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa