-Sekta ya Utalii inachangia 17.5% ya pato la Taifa
-Inaingizia Taifa fedha za Kigeni kwa 25%
-Zaidi ya Watalii 1,137,182 kwa mwaka 2017 walifika katika nchi yetu na 80% walitembelea mbuga zetu za Mkoa na waliweza kuliingizia Taifa fedha kiasi cha trilioni 3.8
Fursa za Uwekezaji
-Ujenzi wa Hoteli mbalimbali za kitalii katika Mbuga zetu
-Kuanzisha na kuboresha maeneo mbalimbali ya kihistoria ya makabila kwa lengo la kuongeza vivutio vya Utalii.
-Kutangaza vivutio vyetu katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Sanduku la Barua: 3050 Arusha
Simu: 27 254 5608
Simu Nyingine: 027 254 4950
Barua Pepe: ras@arusha.go.tz
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa