Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassimu Majaliwa Majaliwa akikagua barabara ya Tengeru- Sakina, pembeni akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Meya wa Jiji la Arusha Karisti Lazaro.Waziri Mkuu alikuwa alikuwa na ziara ya kikazi mkoani Arusha kwa siku moja.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa