• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

ARUSHA YAWEKA REKODI YA KUWA NA PAREDI YENYE MSULULU MREFU WA MAGARI CHAPA LAND ROVER DUNIANI

Posted on: October 12th, 2024


Na Elinipa Lupembe 



Mkoa wa Arusha ukiiwakilisha nchi ya Tanzania, Afrika Mashariki  na Afrika kwa ujumla imeweka rekodi ya Dunia kwa kuwa na Paredi yenye msululu mrefu wa magari 1,032 aina ya Landrove, kwenye LandRober Festival 2024, iliyofanyika Leo Jumamosi Oktoba 12, 2024.



Akitangaza rekodi hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda  ameweka wazi kuwa, Mkoa huo wa Kaskazini mwa Tanzania, umefanikiwa kuvunja rekodi ya Ujerumani iliyowekwa mwaka 2018, kwa Taifa hilo kufanikiwa kuwa na Tamasha lililokutanisha magari chapa ya Land Rover ya kuwa na magari 1,032.



Tamasha la Land Rover Festival 2024 lililoanza mapema leo Oktoba 12 na kutarajiwa kufikia tamati Oktoba 14, 2024 limefanikiwa kushirikisha magari chapa ya Land Rover takribani 1034, na kuweka rekodi ya kuwa na Parade ndefu zaidi duniani yenye zaidi ya Kilomita 14 ikianzia safari yake Eneo la King'ori na kutamatikia kwenye viwanja vya Magereza Kisongo Jijini Arusha.



Land Rover Festival 2024 inafanyika kwa mara ya kwanza Mkoani Arusha na Tanzania, ikiwa na lengo la kuutangaza utalii wa Mkoa wa Arusha pamoja na kufungua fursa mbalimbali za kiuchumi kwa wakazi wa Mkoa wa Arusha kwa kuwa na matukio mbalimbali yatakayokusanya idadi kubwa ya watu na hivyo kuchangia kukuza pato la mwananchi mmoja mmoja na la Mkoa kwa Ujumla.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa