Siku ya Wanawake Duniani 2025, kufanyika Arusha Machi 08, 2025 na Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Siku ya Wanawake itaambatana na shuguli mbalimbali zitakazoanza tarehe 01 - 07 Machi, 2025 ambapo Jumla ya Wizara 8 zitatoa huduma bure kwa jamii, ikiwa ni pamoja na huduma za kisheria, afya na elimu ya fedha.
Kauli Mbiu: Wanawake na Wasichana 2025, Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji
Tukutane Arusha, kuanzia Machi 01, Usipange Kukosa
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa