• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

BARABARA YA WASO HADI SALE KUKAMILIKA MAPEMA

Posted on: August 20th, 2021

Mwenyekiti wa chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha Mhe.Zelothe Steven amewaagiza Wakala wa Barabara Wilaya ya Ngorongoro (TANROAD), wathaminishaji wa Barabara na mkandarasi kuhakikisha wanamalizia vipande vya Barabara vilivyobaki kutoka Sale hadi Mto wa Mbu.

Ameyasema hayo alipokuwa akikagua mradi wa Barabara ya Waso hadi Sale Wilayani Ngorongoro.

Serikali imeshatoa zaidi ya shilingi Bilioni 42 mpaka sasa ili ziweze kumaliza kipande cha Barabara kutoka Waso hadi Sale, hivyo amemtaka Mkandarasi huyo kuhakikisha mradi huo unakamilika ifikapo Oktoba mwaka huu.

Nae, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amesema Serikali itatangaza tenda kwa vipande vya Barabara hiyo vilivyobaki mapema na kwa awamu ili kurahisisha ukamilikaji wa Barabara hiyo mapema.

Mongella amesema kukamilika kwa Barabara hiyo kutafungua fursa nyingi za kiuchumi katika Wilaya hiyo na hata pia kupunguza muda wa kusafiri.

Pia, Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Raymond Mangwala amesema Barabara hiyo ni kama lango la kukuza uchumi wa Wilaya hiyo kwani mwingiliano utaongezea pindi itakapokamilika.

Ameomba ili mradi wa Barabara hiyo uweze kukamilika kwa wakati basi Mkandarasi aliyepo apatiwe tena tenda yakumalizia vipande vya Barabara hiyo kwani tayari anavifaa katika eneo hilo kuliko kupatiwa Mkandarasi mwingine ambae itamlazimu  kuleta vifaa katika eneo la mradi ambayo ni gharama.

Ziara ya  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na Mkuu wa Mkoa ilikuwa na lengo la kukagua Miradi ya kimkakati katika Wilaya ya Ngorongoro ambapo walikagua Barabara ya Waso hadi Sale yenye urefu wa Kilomita 49, Hospitali ya Wilaya, Chuo cha Uwalimu Ngorongoro.





Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa