• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

ELIMU YA KITALU NYUMBA KUWANUFAISHA VIJANA WAKITANZANIA

Posted on: June 21st, 2019

Mkurugenzi wa Idara ya Vijana bwana James Kajuguzi,amesema Ofisi ya Waziri Mkuu imatenga kiasi cha shilingi bilioni 5 zitakazo wawezesha vijana kupata ujuzi wa kutengeneza Kitalu Nyumba na elimu ya Kilimo katika vitalu hivyo.

Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na watumishi pamoja na kamati ya mikopo ya vijana ya Jiji la Arusha kwa lengo la kukagua maendeleo ya mikopo inayotelewa kwa vijana na hali nzima ya urejeshaji wa mikopo hiyo.

“Hizi bilioni 5 zitaenda kutoa elimu kwa vijana 20 kwa kila Mkoa juu ya utengenezaji wa Vitalu Nyumba na vijana wengine 80 watapatiwa mafunzo ya kilimo bora cha vitalu nyumba”.

Amesisitiza zaidi kuwa baada ya mafunzo hayo Wizara imetenga kiasi cha bilioni 1 kwa ajili ya mtaji kwa hao vijana watakaopenda kwenda kujiajiri kwenye kilimo cha biashara cha Kitalu Nyumba.

Kajugusi amesema, Ofisi ya Waziri Mkuu imekuja na mpango huo wakutoa elimu ya kutosha kwa vijana juu ya kilimo cha biashara kwa kutumia Kitalu Nyumba ili kuongeza wigo mkubwa kwa vijana kupata fursa za uzalishaji na kuinua uchumi wao.

Akitoa taarifa ya maendeleo ya mikopo kwa Jiji la Arusha Afisa Maendeleo ya Jamii Hanifa Ramadhani, amesema kwa jiji la Arusha mwaka 2008/2009 Wizara ilitoa kiasi cha fedha Milioni 10 na zilisharejeshwa.

Mwaka 2016/2017 pia Jiji walipatiwa kiasi cha fedha shilingi Milioni 20 na marejesho yake yanaendelea.Pia katika mikopo ya Halmshauri ya asilimia 4 kwa vijana, mwaka 2018/2019 walitoa kiasi cha milioni 665  kwa vikundi 118 na asilimia 2 ya walemavu wametoa kiasi cha milioni 25 kwa vikundi 5.

Mkurugenzi wa Kampuni ya KCG Investment Glory Wilfred amesema, mikopo wanayopatiwa na serikali kweli imesaidia kuinua mtaji wao na kuwafanya waendelee kuzalisha zaidi bidhaa zao.

Amewashauri vijana wengine kujiunga katika vikundi ili waweze kupatiwa mikopo ya kuwainua kiuchumi na amewataka wawe waaminifu katika kurudisha fedha hizo ili ziwasaidie wao kwa kukopa tena au kutoa fursa na kwa vijana wengine kukopeshwa.

Kajugusi anaendelea na ziara yake katika Halmashauri za Mkoa wa Arusha ili kukagua maendeleo ya mikopo  ya vijana  na hali ya urejeshaji wake.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa