Sekretariet ya Mkoa wa Arusha inakutakia Kila la Kheri kwenye Kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa, Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla @amosmakalla leo Septemba 16, 2025.
Utumishi wako, uungwana na mapenzi yako kwa wananchi na kwa watumishi wote katika Mkoa wa Arusha ni alama muhimu inayofanya wajivunie wewe kama kiongozi imara, kaka, baba na mkuu wa Boma.
Mwenyenzi Mungu akutunze na akujalie yaliyo mema.
Happy Birthday CPA.Amos Gabriel Makalla
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa