• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KITENDAWILI CHA MAJI KARATU CHATEGULIWA NA MAMA SAMIA AMELETA MAJIBU CHEMCHEM

Posted on: July 24th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Kufuatia mpango wa Serikali ya awamu ya sita wa kusogeza miundombinu ya maji kwenye maeneo wanayoishi wananchi, Serikali imetekeleza mradi wa maji wa Chemchem uliogharimu shilingi milioni 590, ambao umetegua kitendawili cha upatikanaji wa maji safi na salama kijiji cha Chemchem kata ya Rotia wilaya ya Karatu. 


Kitendawili hicho kilepata majibu sahihibaada ya Kiongozi wa Mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa 2024, Ndugu Godfrey Eliakimu Mnzava kutembelea mradi huo wa maji uliozinduliwa na Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 kuzindua mradi huo ambao ni ujenzi wa tanki lenye ujazo wa lita 135,000 na vituo 18 vya kuchotea maji na birika la kunyweshea mifugo, mradi ambao umewafikia jumla ya wanachi 6,000 wa kijiji hicho cha Chemchem.


Akizindua mradi huo, Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, ameweka wazi kuwa mradi huo  umeleta majawabu ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan majibu ambayo wananch8 waliyatamani kwa muda mrefu.


Malengo ya Serikali ni kuhakikisha wananchi wote wanapata maji safi na salama ndani ya maeneo yao kufuatia programu ya kumtua mama ndoo kichwani.


Mnzava amepongeza RUWASA kwa kutekeleza mradi vizuri uliokidhi vigezo vinavyoendana na thamani ya fedha kwa kutumia mfumo wa manunuzi wa kielektoniksi (NeST) na kuunda Jumuia ya watumia maji  na kusisitiza kuwa Jumuia hiyo CBWSO waendelee kusimamia kwa uaminifu, ugawaji wa maji.


"Tumeshuhudia baadhi ya  maeneo kuna changamoto ya ugawaji usio na usawa, niwasihi Jumuia hii kugawa maji kwa usawa bila upendeleo, tunahitaji mgao uwe na usawa kila mtu anahitaji kupata maji maji kwa kuwa hayana mbadala wake". Amesema


Hata hivyo, amewataka wananchi kuwa usimamizi wa Jumuia ya Watumia maji ngazi ya jamii, kutunza miundo mbinu hiyo ya maji, ili iweze kudumu na kuhudumia kwa miaka mingi ijayo.


Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024 ni "Tunza Mazingira, Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa ujenzi wa Taifa Endelevu"


Mwenge wa Uhuru Oyeee




                        
                       
                        </div>
                        <!-- /.right-sidebar-content -->
                        <!--/END RIGHT SIDEBAR CONTENTE SECTION-->
                    </div>



<div class=

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa