• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MKATABA WA BILIONI 27, KUTATUA KERO YA MAJI MONDULI; WAZIRI AWESO ASHUHUDIA UTIAJI WA SAINI..

Posted on: November 12th, 2023

Na. Elinipa Lupembe


Serikali imesaini mkataba  wa sh,bilioni 27 kwaajili ya mradi wa maji katika vijiji 19 unaotarajiwa kutatua kero ya muda mrefu ya maji inayowakabili wananchi Wilayani Monduli mkoani Arusha.


Aidha Waziri wa Maji,Jumaa Aweso amewaagiza wataalam wa maji na wahandisi kutokuwa kikwazo cha kukwamisha miradi ya maji inayotakiwa kuwafikia wananchi kwa lengo la kuwatua ndoo kichwani


Akizungumza jana kata ya Lepurko eneo la Nanja wilayani Monduli,wakati wa kusaini mkataba wa mradi wa maji  toka Jiji la Arusha wenye thamani ya zaidi ya sh,bilioni 20 kwenda vijiji 13 na mkataba mradi wa maji kwenda vijiji vinne vya Makuyuni wenye thamani ya zaidi ya sh, bilioni 7, Waziri Aweso amesisitiza miradi kukamilika kwa wakati.


Alisema baadhi ya wakandarasi na  wataalamu wa maji wanakuwa ni kikwazo katika kukwamisha miradi ya maji hivyo alitoa rai kuhakikisha miradi ya maji haikwami ili kuwaondolea kero za maji  wananchi .


" Mimi Aweso sitakuwa kikwazo cha kukwamisha miradi ya maji kwa wananchi na nyie wataalamu wa maji hakikisheni maji yanawafikia wananchi kwa wakati"


Awali akizungumzia mradi huo ,Meneja wa Wakala wa Maji  na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa)Mkoa wa Arusha, Joseph Makaidi  alisema mradi huo utatekelezwa kwa muda wa miaka miwili katika vijiji 19 ambapo utekelezaji wa mradi huo utabakiza vijiji sita ambavyo navyo vitapata  na vijiji 13 ndio vitaanza kutekelezwa katika mradi huo .


"Mradi huu utapunguza kero ya maji katika wilaya hii na sisi Ruwasa tutasimamia vema ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji"


Huku mmoja kati ya wananchi wanaoishi wilayani hapo,Jane Lowassa alishukuru mikataba hiyo kusainiwa kwani itaondoa kero ya maji wilayani hapo kwasababu awali walikuwa wakitumia maji ya bwawa ambayo si salama sana


Huku mbunge wa jimbo hilo ,Fredrick Lowassa na Mkuu wa wilaya  hiyo,Joshua Nassari wakishukuru kusainiwa kwa mkataba huo ambao unatatua kero za maji kwa wananchi na kumshukuru Rais Samia Hassan Suluhu kwa kutatua kero ya maji kwa wananchi hao.




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa