Sehemu ya maandalizi ya Mkesha wa kupokea Sherehe za maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yanayofanyika Jijini Arusha leo Novemba 28, 2024 kwenye barabara ya Mzunguko wa Mnara wa saa maarufu kama Clock Tower. Mkesha huu unajumuisha wananchi na wageni kutoka nchi nane za Ukanda wa Afrika ya Mashariki. Sherehe hizi zinaratibiwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa