• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MPANGO WA m- mama WAZINDULIWA

Posted on: December 19th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amesema mpango wa m- mama uwafikie viongozi wa ngazi zote ili kuwajengea uwelewa wa pamoja.

Ameyasema hayo,alipokuwa akizindua mpango wa usafirishaji wa dharura wa Mama wajawazito, waliojifungua na watoto wachanga (m-mama) katika Mkoa wa Arusha.

Amesema,mpango huu utafanikiwa zaidi ikiwa utafika kwenye Kata, Vijiji  Mitaa, na vitongoji kupitia kwa viongozi wa dini na kimila ili wao wakatoe elimu hiyo kwa wananchi ili iwe rahisi kuutumia.

Nae, Dororosa Duncan Mkurugenzi wa m- Mama Tanzania kutoka Vodacom foundation amesema mpango huo umeanzishwa baada ya kuona kuna changamoto ya vifo vya Mama na Mtoto katika jamii.

Amesema, wao wanashirikiana kwa karibu sana na Serikali ili kuhakikisha mpango huo unawafikia wananchi na kuleta manufaa zaidi.

Mratibu wa mpango wa m-mama Mkoa wa Arusha Getrude Anderson amesema Mkoa wa Arusha ulikuwa na vifo vya Mama na watoto 67 kwa mwaka 2019 hadi kufikia 2021  idadi ilikuwa  vifo 50.

Mpango huu utasaidia kupunguza tabia ya uchekeweshwaji wa wagonjwa unaotokana na ukosefu wa usafiri hasa katika mazingira ya vijijini na hivyo kuendelea kushusha zaidi idadi ya vifo vya Mama na watoto.

Pia, mfumo huu utaenda kurasimisha utumiaji wa usafiri katika ngazi ya jamii kupatikana kwa urahisi.

Mpango wa usafirisha wa dharura kwa wajawazito waliojifungua na watoto ulinziduliwa rasmi Aprili 6,2022 na Rais Samia Suluhu hasani nakuanza kutekelezwa katika Mikoa ya Mwanza na Shinyanga.







Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa