• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATAKA WAKUU WA MIKOA KUIGA MAZURI YA RC MAKONDA....

Posted on: June 29th, 2024

Naibu Waziri wa Afya nchini Tanzania Dkt. Godwin Mollel amesema wakuu wa mikoa wana mambo mengi ya kujifunza kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda kutokana na namna ambavyo amekuwa akifanikiwa kwenye programu mbalimbali za kuhudumia wananchi na kutekeleza maelezo ya serikali kuu kikamilifu.


Naibu Waziri wa afya ametoa kauli hiyo siku ya Jumamosi Juni 29, 2024  alipotembelea kambi ya madaktari bingwa inayoendelea Mkoani Arusha kwenye viwanja vya Sheikh Amri Abeid, akifurahishwa na uratibu wa Kambi hiyo pamoja na wingi wa watu waliopata matibabu kwenye kambi hiyo inayotarajiwa kumalizika Jumatatu ya wiki ijayo.


"Nikuambie tu Mhe. Mkuu wa mkoa tunakuelewa sana na watanzania wanakuelewa sana na nikuambie tu wewe simama kwasababu wewe ni Daud wala usiogope na umeshika kombeo na usiogope mishale mingi huwa inaendaga pale patakatifu kwasababu shetani huwa anapachukia."


Aidha Dkt.Mollel amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kuzifanya vyema kazi zote za Rais Samia zinazokuja Mkoani Arusha, akimtaka kutokatishwa tamaa katika kuwatumikia wananchi kutokana na ukosoaji na maneno mabaya yanayoelekezwa kwake.


Katika hatua nyingine Naibu waziri huyo wa afya ametangaza kuwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongeza siku moja ya Kambi hiyo ya Matibabu ya kibingwa na hivyo kutakiwa kuisha Jumatatu ya wiki ijayo tofauti na ilivyokuwa imepangwa awali.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa