• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

PROGRAMU YA m-mama YAPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO ARUSHA.

Posted on: July 30th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Kwa kipindi cha mwaka mmoja wa utekelezaji wa programu ya m-mama inayotoa huduma ya usafiri wa dharura na rufaaa kwa wajawazito na watoto, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupunguza vifo 19  kutoka vifo 67 mwaka 2022/23 na kufikia vifo 48  mwaka 2023/24 sawa na 28.3%.


Akizungumza wakati wa kumkaribisha mgeni rasmi, kufungua kikao kazi cha mwaka cha Tathmini ya utekelezaji wa mfumo wa huduma ya M - mama mkoa wa Arusha, kilichofanyika kwenye hoteli ya Corridor Spring Jijini Arusha mapema leo Julai 30, 2024, Kaim Mganga Mkuu Mkoa wa Arusha, Dkt. Edna Chonge Ntulle ameweka wazi kuwa, kwa kipindi cha mwaka mmoja na miezi mitatu ya programu ya M- mama imefanya mageuzi ya kupunguza vifo vya wajawazito na watoto.


Amesema kuwa, katika mkoa wa Arusha, mfumo wa m-mama ulifunguliwa mwaka  19.12 2022 na kuanza utekelezaji wake Machi 2023,  kwa kipindi hicho mkoa umefanikiwa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto kwa asilimia 28.3. 


"Kupitia m-mama tumefanikiwa kusafirisha wajawazito na wazazi 4,189 sawa na asilimia 82, Watoto wachanga 808 sawa na asilimia 18 na kufanya juma ya rufaa zilizoingizwa kwenye mfumo kuwa 4,997 sawa na asilimia 92.


Ameweka wazi kuwa, lengo ya kikao kazi hicho ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa mfumo wa m-mama ili kutambua changamoto halisi na kuweka mikakati na utatuzi endelevu ya ili kupungu kuondoa kabisa vifo visivyo vya lazima.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa