• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AAGIZA MADC na MADED KUMILIKI AJENDA YA LISHE.

Posted on: February 12th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella amewataka wakuu wa wilaya na Wakurugenzi wa halmashauri za mkoa wa Arusha kuwajibika kusimamia ajenda ya lishe kwenye maeneo yao, ili kuokoa kizazi cha watanzania na kurahisisha utekelezaji wake.


Mhe. Mongella ametoa agizo hilo wakati wa kikao cha Tathmini ya Lishe mkoa wa Arusha, chenye lengo la kufanya Tathmini ya lishe ngazi ya mkoa, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa mkoa huo, leo tarehe 12 Februari, 2024.


Amesema kuwa, kutokana na unyeti wa suala la lishe nchini na Mheshimiwa Rais akiwa ndio Championi wa agenda ya Lishe nchini, hivyo kila Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi kuhakikisha ameibeba na kuiishi katika maisha yake ya kazi ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na lishe bora.


Licha ya kuwa kuna mabadiliko na maendeleo katika suala la Lishe, bado tuna kwenda taratibu, wakati lishe ni msingi wa maisha ya binadamu, ajenda ya lishe haina mbadala, ni agenda nyeti na muhimu katika mustakabali wa Taifa, ili taifa letu liweze kuendelea linahitaji wananchi wenye lishe bora ambao wana uwezo wa kufikiri na kufanya kazi kwa maendeleo ya taifa hili la Tanzania


"Kila kiongozi kwenye eneo lake ahakikishe anafuatilia utekelezaji wa afua za lishe, Wakuu wa wilaya msiifanye ajenda ya lishe kama ni kutekeleza mkataba mliousaini, wala wakurugenzi msitoe hela kwa kuwa mnalazimishwa, fuatilieni  utekelezaji wa afua za lishe katika maeneo yenu" Amesisitiza Mhe.Mongella.


Hata hivyo, akiwasilisha taarifa ya Tathmini ya alishe kwa kipindi cha kuanzia mwezi Julai - Desemba, 2023, Afisa qlishe Mkoa wa Arusha, Doto Milembe, amesema kuwa hali ya utoaji na upatikanaji elimu ya lishe imeongezeka, hali yauoatikanaji chakula cha wanafunwzi shuleni imefikai asilimia 87, huku halmshauri zikiavuka malengo ya fedha zilizopangwa kwenye bajeti ya mwaka


Amesisitiza kuwa, kikao hicho ni maalum kwa ajili ya kuainisha na kujadili viashiria ambavyo havijatekelezwa kwa ufanisi na kuweka mikakati ya kuboresha utekelezaji wa mkataba wa  afua za lishe, hivyo suala la Lishe ni mtambuka hivyo, watalamu wa ngazi zote kushirikiana na watoa huduma ngazi ya jamii kutoa elimu ya lishe na kusisitiza kuwa lishe bira ianze na wadau watalam husika.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa