• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AAIGIZA KUFANYIKA UKARABATI MAJENGO YA ZAMANI SHULE YA MSINGI QARU KARATU

Posted on: October 25th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K.  Mongella ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa vyumba vitano vya Madarasa  shule ya Msingi Qaru kata ya Endabashi halmashauri ya Karatu, Mradi uliotekelezwa na fedha kutoka Serikali Kuu kupitia Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Fursa sawa katika Ujifunzaji Bora kwa Elimu ya Awali na Msingi Tanzania Bara (BOOST) kwa gharama ya shilingi milioni 131.3

Kiasi hicho cha fedha kimejumuisha ujenzi wa vyumba vitano vya madarasa, samani za madarasa pamoja na matundu  ya vyoo vya wasichana na wavulana.

Hata hivyo Mhe. Mongella ameushauri uongozi wa halmashauri kujipanga kuanza kufanya ukarabati wa mamajen yaliyoanza kuhakaa kutokana na kujengwa miaka mingi iliyopita, amewataka kufanya ukarabati huo kwa awamu kwa kutumia fedha za uendeshaji shule pamoja na mapato ya ndani.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Qaru, Mwl. Asumpta Ditto, amesema kuwa ujenzi wa madarasa hayo umeondoa changamoto ya msongamano wa wanafunzi darasani kwa kuwa shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 975 na kuongeza kuwa kwa sasa wanafunzi wanafurahia uwepo wa madarasa mapya kwa kuwa madarasa yaliyokuwepo ni machakavu kutokana na kujengwa miaka ya 1970, kwa sasa shule imeanza kuwa na mazingira rafiki ya kufundishia na kujifunzia.

"Kwa sasa wanafunzi wanafurahia shule, madarasa mapya yamepunguza msongamano wa wanafunzi, tunaamini mazingira haya rafiki yataongeza ari ya kusoma na kupandisha taaluma shuleni" Amebaimisha Mwl. AsuAsump

Hata hivyo Mwl. Asumpta amesema kuwa majengo ya shule hiyo yalijengwa miaka ya 70 na sasa yameanza kuchakaa na kuiomba serikali kuafanya ukarabati mkubwa wa majengo hayo.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa