• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AZUNGUMZA KWENYE MKUTANO MKUU WA JUKWA LA MAJAJI WAKUU WA NCHI ZA KUSINI NA MASHARIKI MWA AFRIKA; AWAKARIBISHA WAGENINWOTE MKOANI ARUSHA

Posted on: October 23rd, 2023

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K. Mongella akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF), mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Hoteli ya Kimataifa ya Mount Meru Jijiji Arusha.


Mhe. Mongella ametumia wasaa huo kuwashukuru waandaji wa Mkutano huo kwa kuamua kufanyia mkutano huo Tanzania hususani katika mkoa wa Arusha.

"Kwa niaba ya Wananchi wa mkoa wa Arusha, tunawashukuru sana kwa kuupa heshima mkoa wetu kufanyika mkutano huu wa kimatifa, mkuatano  ambao ni muhimu kwa wananchi wa Tanzania na Afrika" Amesema


Aidha amewakaribisha wageni na wajumbe wote wa mkutano kwa kuwahakikishia amani na usalama muda wote wawapo  Arusha bila kusahahu hali nzuri ya hewa, hewa inayovutia kwa kila mtu anayefika Arusha.


Awali amewapongeza waandaji wa mkutano huo kwa kuweka ratiba ya kutembelea vivutio vya utalii vinavyopatikama Arusha, ikiwemo Mbuga ya Wanyama Ngorongoro na Olduvai Gorge, na kuweka wazi kuwa Olduvai Gorge ndipo lilipogundulika fuvu la binadamu wa kwanza, hivyo kama binadamu  asili yetu ni Olduvai Gorge.


Hata hivyo Mhe. Mongella hakusita kuwashukuru wajumbe hao kwa programu ya kutembelea vivutio vya utalii ambavyo amekiri ni kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Filamu ya Royal Tour ya kutangaza Utalii wa Tanzania ndani na nje ya nchi, utalii ambao ndio msingi mama wa uchumi wa Tanzania.


#arushafursalukuki

#KaziIendelee


PICHA ZA MATUKIO 



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa