• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI KUKAMILISHA MABOMA YA ZAHANATI YANAYOANZISHWA KWA NGUVU ZA WANANCHI...

Posted on: May 22nd, 2024

Naibu Waziri  @ortamisemi anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb) amesema Serikali inaendelea kutenga Fedha kwa ajili ya ukamilishaji wa maboma ya zahanati yaliyoanzishwa kwa nguvu za wananchi, ambapo katika kipindi cha mwaka 2020/21 hadi 2022/23, Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 89.9 kwa ajili ya ukamilishaji wa maboma 1,798 ya zahanati kote nchini.


Dkt.Dugange amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha maswali na majibu wakati akijibu swali la Mheshimiwa Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa aliyeuliza Je, ni lini Serikali itajenga Zahanati katika kila Kijiji Nchini ili kusogeza huduma ya afya kwa Wananchi.


“katika mwaka 2023/24 serikali imetenga shilingi bilioni 18.8 kwa ajili ya ukamilishaji wa maboma 376 ya zahanati kote nchini. Hadi kufikia machi, 2024 jumla ya shilingi bilioni 18.76 zimeshatolewa. Mpango wa serikali wa ujenzi wa zahanati katika vijiji ni endelevu. Serikali imeshafanya ukaguzi wa zahanati zote zilizojengwa kwa nguvu ya wananchi katika Halmashauri zote na imeendelea kutenga na Fedha kwaajili ya ukamilishaji wa maboma hayo” Mhe. Dugange.


Aidha katika hatua nyingine Mhe. Dkt. Dugange amemuelekeza Mkurugezi wa Halmashauli ya Nchemba kwa kushirikiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma kumpeleka Mtaalamu wa masuala ya Mionzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Nchemba ili kuendelea kuwahudumia Wananchi.


Pia amesema serikali inaendela kuboresha Huduma za mionzi kwa kuwezesha kusimika machine za X – ray na ultrasound katika vituo vya kutolea huduma za afya msingi kote nchini ikiwa ni Pamoja na kuajiri wataalamu wa kutumia vifaa hivyo. Wakati akijibu Swali la nyongeza Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Nchemba  Mhe. Mohamed Monni.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa