• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SHERIA MPYA KUTUNGWA KUSIMAMIA UPATIKANAJI WA VIONGOZI SAHIHI WA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA.

Posted on: August 27th, 2024


Msajili wa Hazina nchini Tanzania Bw. Nehemia Mchechu amesema sheria mpya inatungwa ili kusimamia Mashirika na Taasisi za umma katika kukuza ufanisi na uwajibikaji wa Taasisi hizo kama sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan



Katika sheria hiyo, Mchechu amesema miongoni mwa sehemu zitakazopewa kipaumbele ni pamoja na kuwa na mfumo wa kisheria wa upatikanaji wa viongozi wa kuongoza taasisi za umma ili kuhakikisha kuwa wanapatikana  viongozi sahihi kupitia mifumo sahihi na ya wazi katika kuhakikisha Taasisi na mashirika hayo yanafikia malengo.



"Ili tuwe na mabadiliko makubwa kwenye taasisi hizi za umma lazima kuwe na mabadiliko ya namna gani tunaweka Uongozi kwenye Taasisi hizi ambapo Mhe. Rais alizungumza vizuri sana umuhimu wa kuwa na watu wenye taaluma sahihi na kuwa na mifumo shindani ya kuwapa watu hao. Tunaamini kuwa Taasisi yenye uongozi imara ndiyo inayosonga mbele." Amesema.



Aidha akizungumza na wanahabari Jijini Arusha kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano AICC, Mchechu ametaja mageuzi mengine yanayosimamiwa na ofisi yake kuwa ni pamoja na usimamizi wa utawala bora, huduma nzuri kwa wateja pamoja na namna ambavyo wakuu wa taasisi hizi wanavyoishi na wafanyakazi wao na namna wanavyowaendeleza.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa