• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TIC WAANZA KAMPENI KUHAMASISHA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI..

Posted on: January 17th, 2024


Na Elinipa Lupembe.

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeanza Kampeni rasmi ya kitaifa ya kwenye mikoa ya kanda ya Kaskazini ya Arusha, Kilimanjaro na Tanga ya kuhamasisha watanzania kuchangamkia fursa za uwekezaji kwa kuwekeza katika miradi mbalimbali nchini.

Akizungumza mkoani Arusha, alipotembelea Kampuni ya Hanspaul ya jijini Arusha,  Meneja Uhamasishaji Uwekezaji wa ndani, Kituo cha UwekezajiTanzania, Felix John, amesema kuwa, TIC imeanza Kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha watanzania wazawa kuwekeza nchini.

Amesema kuwa Kampeni hiyo, ina malengo makuu mawili ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kuhusu dhana ya uwekezaji,  kuwahamasisha watanzania kushiriki katika na kuondoa fikra na mtazamo potofu kwa watanzania kwamba wawekezaji ni wageni kutoka nje ya nchi.

Ameweka wazi kuwa, Serikali kupitia, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara,kwa kushirikiana na TIC, imeshusha kiwango cha fedha za uwekezaji kwa wazawa kutoka Dola za Kimarekani 100,000 hadi kufikia 50,000 sawa na Shilingi milioni 125 ili kuwavutiwa wawekezaji wa ndani kuwekeza na kusajili miradi yao.

Amesema kampeni hiyo,imelenga kutekeleza malengo makuu mawili ikiwamo kutoa elimu kwa Watanzania kuhusu dhana ya uwekezaji pamoja na kuwahamasisha kushiriki kikamilifu kwa kuwekeza katika miradi mbalimbali ya kiuchumi na kuchangamkia fursa zilizoko.

Naye Mkurugenzi wa Kampuni ya Hanspaul inayotengeneza magari ya utalii, na mwekezaji wa ndani, Satbir Singh Hanspaul, ameipongeza serikali kwa kuweka mazingira rafiki ya uwekezaji kwa wawekezaji wa ndani na nje.

#arushafursalukuki





Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa