Viongozi wa Mila Longido Wamtunuku Mhe. Paul Makonda Cheo cha Laigwanani wa Kimaasai Katika tukio la kihistoria na la kipekee, viongozi wa mila wa jamii ya Kimaasai Wilaya ya Longido leo wamemsimika rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, kuwa Laigwanani wa Mila za Kimaasai.
Hafla hiyo imefanyika wakati Mhe. Makonda alipokuwa akitembelea eneo la Sinya kushuhudia utiaji saini wa mkataba wa uchimbaji wa visima vya maji, kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA).
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa