• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WATOTO MSIKAE KIMYA, TOENI TAARIFA ZA KUNYANYASWA KIJINSIA-RC KIMANTA

Posted on: November 25th, 2020

Serikali itasimamia mipango yote itakayotumika kupinga na kutokomeza ukatili wa kijinsia hasa kwa watoto wa kike kwa kuhakikisha taarifa zao zinafanyiwa kazi kwa haraka zaidi.

Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Iddi Kimanta alipokuwa akizindua siku 16 za maadhimisho ya kupinga unyanyasaji wa kijinsia Kimkoa,Jiji la Arusha.

“Maadhimisho haya yanatakiwa kuleta mabadiliko katika jamii zetu kwa kupunguza ukatili huu kwa wanawake na watoto, na ili haya yote yaweze kufanikiwa ni lazima kila mmoja wetu awe tayari kuelimisha jamii yake.”

Amesema kwa takwimu za mwaka 2019 hadi 2020 jumla ya wanawake 1302 wamefanyiwa ukatili wakinjinsia na watoto 1256, ambapo wakiume walikuwa 171 na wakike 1,085 na kwa mwaka 2018 hadi 2019 waliofanyiwa ukatili wa kijinsia   kwa watoto walikuwa 988, hii ni ongezeko la asilimia 22 kulinganisha na mwaka 2020.

Aidha, amewataka watoto wasiwe waoga wa kutoa taarifa pindi wanapofanyiwa ukatili wa kijinsia.

Akizungumza kwa niaba ya wadau wakupinga ukatili wa kijinsia Mkoani Arusha, Mkurungezi mkazi kutoka shirika la World Education inc. (WEI) BI. Lilian Badi,amesema katika mradi wao watawapa nafasi wahanga wa unyanyasaji wa kijinsia kutoa elimu katika jamii.

Bi.Lilian amesema shirika lake litaendeleo kutoa elimu katika maeneo mbalimbali ya jamii hasa katika kipindi hiki cha maadhimisho ya siku 16, ili jamii ipate uwelewa zaidi wa namna ya kukabiliana na ukatili wa kijinsia.

Maadhimisho ya kupinga ukatili wa kijinsia Mkoani Arusha yamezinduliwa leo yakiwa yamebeba kauli mbiu isemayo “Tupinge Ukatili wa Kijinsia: Mabadiliko Yanaanza na Mimi" na yatafanyika kwa siku 16 kuanzia Novemba 25 hadi Disemba 10.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa