Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa leo tarehe 29 Aprili, 2025, ameondoka Mkoani Arusha baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani humo.
Katika ziara hiyo, Mhe. Majaliwa alifungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege kwa Kanda ya Afrika (ACI Africa) pamoja na Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya habari.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa