• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA VIKUNDI  VYA WANAWAKE WAJASIRIMALI JIJI LA ARUSHA; KWENYE MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA KITAIFA MKOANI ARUSHA....

Posted on: November 22nd, 2023


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB),ametembelea banda la Vikundi vya Wanawake wajasiriamlia Jiji la Arusha, kwenye Maonesho ya 3 ya Wiki ya Huduma za Kifedha, yanayoendelea kwenye viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.


Mwenyekiti wa Vikundi vya Wanawake wajasiriamali Jiji la Arusha, Bi. Husna Almas, amepata fursa ya kumuelezea Waziri Mkuu, shughuli mbalimbali, wanazozifanya wajasiriamali hao, pamoja na kuwasilisha ombi lao kwa serikali


Kwa niaba ya vikundi vya wanawake wa mkoa wa Arusha,  Mwenyekiti Husna, ameiomba Serikali yao ya awamu ya sita, kurejesha Mikopo isiyokuwa na riba, iliyokuwa onatolewa na Serikali, kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri zao, kwa kuthibitisha kuwa, mikopo hiyo iliwainua wanawake kwa kukuza mitaji na kuongeza pato la familia na taifa.


Hata hivyo Mheshimiwa Waziri Mkuu, ameigaiza Ofisi ya Rais - TAMISEMI, kuharakisha ukamilishaji wa mchakato ulioelekezwa na Serikali, wa namna bora ya utoaji wa mikopo ya isiyokuwa na riba, ili ifikapo Januari 2024, vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu waanze kupata mikopo na kunufaika na fedha hizo za serikali yao.




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa