• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WANANCHI HIFADHI YA NGORONGORO KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI...

Posted on: May 10th, 2025

Na Mwandishi wetu, Ndutu Ngorongoro


WANANCHI wa kata za Endulen, Alaetoli na Kakesio zilizopo eneo la Hifadhi ya Ngorongoro wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji unaotekelezwa na Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi  ya Ngorongoro ambapo kwa kata ya Endulen kisima chenye urefu wa mita 250  chenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya lita za maji 80,000 kwa siku kimechimbwa katika eneo la Mlima Matiti kata ya Endulen.


Akiwa katika ziara ya kukagua ujenzi wa mradi huo ambao utekelezaji wake upo zaidi ya 50%, Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka  ya Hifadhi ya Ngorongoro Bw. Abdul-Razaq Badru ameeleza kuwa utekelezaji wa mradi huo utasaidia wananchi wa kata za Endulen, Alaetoli, Kakesio na baadae Olbalbal ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa maji kwa mifugo hasa msimu wa kiangazi.


“Hapa kata ya Endulen baada utafiti tumepata maji ya kutosha, kisima kilichochimbwa katika eneo hili kitazalisha lita 8,000 kwa saa na lita laki moja (100,000) kwa siku, tunaamini ndani ya wiki moja majaribio ya mwisho ya kujaza maji yatakuwa yamekamilika, mabwawa ya kukusanya maji yatachimbwa na mifugo zaidi ya 2000 itakuwa inapata maji hapa kila siku,” alifafanua Badru


Kamishna Badru ameeleza kuwa utekelezaji wa miradi hiyo kwa ajili ya wananchi wanaoishi eneo la hifadhi ya Ngorongoro ni sehemu ya utekelezaji wa miradi ya kijamii ambayo wananchi waliomba Mamlaka hiyo kuwasaidia ili kukabiliana na changamoto za ukame na kuepuka kuingiza mifugo maeneo maalum ambayo hayaruhusiwi kuingiza mifugo ndani ya hifadhi.


Baada ya kukamilika mradi wa maji kata ya Endulen, visima vingine vitachimbwa katika kata za Kakesio na Olbalbal ambapo wananchi watanufaika kwa kunweshea mifugo yao pamoja na matumizi ya Nyumba.


Mmoja wa wananchi wa Kata ya Endulen Siyapaa Ole-Keyan amesema utekelezaji wa miradi katika kata hizo Serikali imejibu kilio cha kunusuru mifugo yao hasa kipindi cha kiangazi na wao kujiepusha kupeleka mifugo yao maeneo yasiyoruhusiwa katika nyanda za misitu na eneo la Ndutu ambalo ni mazalia ya Nyumbu wanaohama.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • JE WAJUA??? HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA MKOA WA ARUSHA WAFIKIA ASILIMIA 93 ..

    October 09, 2025
  • KARATU DC YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2025

    October 06, 2025
  • WANANCHI HIFADHI YA NGORONGORO KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI...

    May 10, 2025
  • TUME YA TAIFA YA MIPANGO (NPC) YAKUSANYAJI WA MAONI YA KUTOKA KWA WADAU WA  SEKTA BINAFSI MKOA WA ARUSHA..

    October 03, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa