• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SWEDEN NA TANZANIA KUE DELEZA USHIRIKIANO

Posted on: November 20th, 2024


Na Elinipa Lupembe 



Nchi ya Sweden,kupitia Taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania  katika kuhakikisha miradi ya maendeleo kwenye  sekta ya elimu inakuwa kwa viwango vya ubora katika nchi zinazoendelea.



Kauli hiyo imetolewa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe.Balozi Charlotta Ozaki Marcias, wakati akizungumza kwenye shule ya Msingi Muriet Darajani jijini Arusha leo Novemba 20, 2024.



Amesema kuwa, Serikali ya Sweden na Tanzania zitaendelea kushirikiana katika  kusaidia sekta ya elimu nchini kupitia Ofisi y Rais,Tawala za Mikoa na  Serikali ya Mitaa (TAMISEMI) na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa lengo la kuhakikisha wanafunzi wanapata fursa ya kupata elimu kwenye mazingira bora na rafiki .



"Tumekuja kujionea fedha zinazotolewa kwa ajili ya kutekeleza miradi ya elimu,  miradi yake ipoje  lakini tunafurahi kujionea uhalisia wa miradi ya shule zaidi tunaipongeza Serikali  ya Tanzania kwa maendeleo yote wanayoyafanya katika sekta ya  elimu"



Naye Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Dk,Charles Mahera aliishukuru Sweden na wadau wengine wa maendeleo kwa kusaidia  sekta ya elimu ikiwemo madarasa,matundu ya vyoo,pamoja na miradi katika kuhakikikisha wanafunzi wasoma kwa bidii na kumshukuru Rais Samia Hassan Suluhu kwa kuendelea kutoa fedha kwaajili ya kuboresha sekta ya elimu 



Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa aliishukuru serikali na nchi ya Sweden kwakuhakikisha sekta ya elimu inakuwa zaidi na kuahidi kuisimamia kwa ukaribi miundombinu yote ya elimu na miradi inayotekekezwa ili kukuza kiwango Cha elimu nchini.



Awali Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Muriet Darajani,Dominic Gado amesema shule hiyo ni miongoni mwa shule zenye idadi kubwa ya wanafunzi ikiwa na jumla ya wanafunzi 5,263 huku bado ikikabiliwa na changamoto ya upungufu wa miundombinu ya vyoo na madarasa.



Akizungumza kwa niaba ya Meya wa Jiji la Arusha, Diwani wa kata ya Ngarenaro Mhe. Isaya Doita ameweka wazi kuwa, Jiji la Arusha linaendelea kutenga fedha na kujenga kiundombinu ya madarasa na vyoo kwenye shule zenye idadi kubwa ya wanafunzi ili kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani.



Balozi Marcias  aliambatana na mwakilishi wa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi wa Maendeleo kutoka nchini humo,Kemi Williams  pamoja na Lucinda Ramos Alcanta ambaye ni Msimamizi wa GPE nchini na wadau wengine wa elimu, wamefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi  ya elimu inayofadhiliwa na wadau wa maendeleo kupitia Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) kwaajili ya kukagua ujenzi wa shule ya awali  ,vyoo katika shule ya msingi Muriet Darajani.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa